Maisha

Maisha

Tuongee. Maisha can be complicated. It becomes easier to be alone. And yet we all know it is not good for us. Humans are social creatures, and no man or woman is an island.

Tuongee

Saa zingine life iko complicated. Unataka kuongea lakini unafikiria hakuna mtu ata understand. Hauko peke yako.

Pia mimi hupitia ma issues like any other normal human being. So, Tuko pamoja

Saa zingine ninadisappear. Sipatikani kwa simu, niko tu mteja. Ninapoteanga kwa desert, ‘the desert of nothingness’. Hakuna kitu for miles.

Saa zingine sitaki kuongea na watu, sitaki maswali, sitaki story, sitaki kuskia watu.

Saa zingine nimechoka tu na kudeal na watu.

Halafu saa zingine ninamiss watu. Ninamiss kushare stories, ninamiss kucheka. Ninamiss kuskia sauti za watu. Ninamiss a lot. Hio ndio maana nilianza hii project, si tu kusaidia watu wengine, ni kunisaidia mimi pia. Kila mtu ananeed social contact, especially saa hii. So tuongee. Sijali ni about nini, tuongee tu. Uko na ka siri kadogo, tuongee. Uko na idea ya biashara, tuongee. Unataka kupita mtihani, tuongee. Unataka kuflex mambo ya sports, tuongee.

Lakini pia tunajua ‘Time is Money’. Siku hizi watu wako very busy, hawapati time ya kukaa na kuchat. Swali ni, utazispend aje? Utatumia saa yako na pesa yako aje? Hiyo ni kitu kila mtu lazima afigure out. Hiyo ndo the true meaning of life. Utafanya nini na talents zako? Talent sasa ni product ya time na passion, na kama uko na both, uko supposed kumake money from that.

Anyway, haiko that serious. Haitakuwa kama interrogation, ni up to wewe mwenyewe kile unataka kuongea about. Vile nilisema, mimi nitaskia tu, ama nitakupatia thoughts zangu, which are totally not binding at all.

Tuongee

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Scroll to Top